Kisumu vs Mwanza

Kwa upande wa barabara hususani interchange io kweli kisumu imeendelea hongera kwao ila pia upande wa building over 10floor arusha inaizidi kisumu

Ko apo ngoma droo labda tuingie kwenye another issues
 
Leta picha ya hizo nyumba. Without pics all your words will be regarded as vague.
Kwa upande wa barabara hususani interchange io kweli kisumu imeendelea hongera kwao ila pia upande wa building over 10floor arusha inaizidi kisumu

Ko apo ngoma droo labda tuingie kwenye another issues
 
Tuende airport sasa
I said okay maana hukubali defeat arusha nimekutajia more than 16 buildings kisumu umesema only 11 na hapo hujazitaja ila bado umegoma kukubali na kwenye airport kisumu anabeat arusha ila arusha iko served na kia na arusha airport remind u kia iko between arusha and kilimanjaro only 40+ km
 
Tuende residential houses sasa
 
Battle ya Arusha vs Kisumu,vs Nakuru na vs Eldoret ina sound lakini sio mwanza maana mwanza haina kitu cha kushindana na Kisumu still mwanza ni kijiji kikuubwa chenye watu wengi hohehahe
 
Jiji halina roads za maana unategemea nini,wabongo hata kuiga miji ya Kenya na Ghana inashindikana?
Road works kwa arusha ndio zimeanza after few years kutakuwa na network kubwa ya barabara za kisasa arusha haijalishi n dual au za kawaida example by pass ya arusha ya 42.1km sio dual ila n road moja nzury vibaya mno yani ukipata time ya kufanya rolling na gari unaona uko mambele naa kuna mianzini to ngaramtoni 18km na yenyewe inaanza kujengwa itakuwa moto ila m kama kwa upande wa majengo kisumu ni beautiful ila kwa majengo arusha inaipita io kubalini na swala la estate arusha estate zipo nyingi ila siwezi shindanisha na kisumu maana kenya watu wanapenda kuishi kwenye nyumba zilizokamilika na kununua au kupanga but in tz tunapenda kununua eneo then uanze kujenga unachokipenda so ina kuwa different plus kuna parts za arusha kama uswahilini na engo hazijapangika kabisa izo ila kwingine kuna nafuu mfano m nakaa mianzini hakujapimwa ila sio uswazi hata kidogo ko in estate arusha na kisumu huwezi linganisha kutokana na preference za watu wake na kuhuusu airport labda mkaze kichwa ila arusha kia na kisongo airport zote zinahudumia jiji kwa io tuko ahead of you remind u distance from kia to arusha n 40+ km sijui tumeelewana apo mkuu sijashindanisha apo nimefanya comparison nzury
 
Battle ya Arusha vs Kisumu,vs Nakuru na vs Eldoret ina sound lakini sio mwanza maana mwanza haina kitu cha kushindana na Kisumu still mwanza ni kijiji kikuubwa chenye watu wengi hohehahe
Apo sibishi ila mwanza ina uwezo wa kuja kuwa kama mombasa ila bado watu wake n wa hali duni na uwekezaji unaofanyika bado haujatosha unatakiwa ufanyike uwekezaji mkubwa kama dodoma ila mwanza iamke iwe giant mwingine wa EA
 
Mbona usiweke mapicha baadala ya kuongea mambo mengi. Or you don't know that a pictures is worth a thousand words.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…