Alafu hawa mbuzi wanadhani traffic lights ni sifa wakati huo ni ujinga tuu inatumika kwa miji yenye haina barabara za kutosha kuondoa jam,,sasa kama Kisumu kuna interchange kibao,flyover za kutosha overpass na underpass za kuzidi,dual roads traffic lights za nini
Ni aibu jiji kama Dar limekosa miundombinu kama ya kisumu city yenye over 6 mln people,Tzn muachage uzwazwa na akili za ki ldc