Kisumu vs Mwanza

Maegesho yapo wapi hapo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali kwanza

Unaruka ruka nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu na Mbeya ni city kwa population that's the main criteria considered kwa hizo miji kuwa city, piga ua!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbuzi (kisumu) hata kama ana ndevu na ng'ombe(mwanza) hana, ng'ombe ataendelea kuwa mkubwa milele daima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚(kama huwezi nielewa kwa lugha ya picha pole!!!)
 
Kapotelea kusikojulikana
 
Hujaeleweka
 
Km kisumu ni city kw ajili ya population, mwanza tusemeje


Manake kisumu imeipiga mwanza na chini karibia kila sekta..
Je mwanza tusemeje


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kapotelea, kisumu ni city kw ajili ya idadi ya watu, je mwanza tusemeje

Manake barabara zero,
Malls zero,
Makaazi zero,
Kiuchumi zero,

Wivu mbaya jamani


Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza niambie kwanza kisumu ina slums ngapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wewe ndio unawivu! unaletewa vitu unabwabwaja tena kama sio wivu hio ni uchawi kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚eti makazi zero, utalinganisha na 60%ya kisumu inayokaa kwa zile slums, Nyalenda wengi wanaijua humu, mnazani siijui obunga slum, manyatta slum? na nyinginezo
 
Reactions: Oii
Unajifanya hukuiona ile picha mwenzako aliyoileta karibu na rock city mall...

Halafu naona umeleta upande kuna fence, hapo lazima gari haitosimama...

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚wivu utakutesa sana? yaani watu wanaziona barabara wewe umekazana kupinga πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…