Kissing the camera ( kwa mabebez)

Hivi huyu jamaa baba yake anapitiaga humu akaona vitu Le mutuz anavyovifanyaga?
 
tuwaombeeni sana watoto wa kiume tunaowazaa,maana ukilitunza litoto mpaka likue halafu linakuja kuwa kubwa jinga ten abwabwa ni hasara na fedheha huku duniani.
 
Mmmh stage nyingine ukiruka ktk ukuwaji ni matatizo kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…