Kisses na maana zake.

Kisses na maana zake.

mind ur business

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
416
Reaction score
417
KISSES NA MAANA ZAKE

Kiss ya kitovu - Niko tayar, nahitaj sasa

Kiss ya paji la uso - Natumai tutakuwa wote daima.

Kiss la sikio - Wewe u kila kitu kwangu.

Kiss la nyuma ya kiganja - Nakupenda na kukuheshmu sana

Kiss la shingo - Nina hamu na wewe

Kiss la lips - Nakupenda

MISHIKO YA KIMAHABA NA MAANA ZAKE

Kushikana mikono - Tunapendana kwa hakika!

Kupiga kibao kwenye tako - Hii ni mali yangu.

Kukumbatia kwa nguvu - Sitaki uende mbali.

Kutizamana machoni - Kwa hakika nakupenda.

Kuchezea nywele - Niambie kuwa unanipenda.

Kukumbatia kiuno - Nakupenda kias kwamba siwez kukuacha uende

Kucheka wakati mki-kissiana - Najisikia huru kufanya chochote na wewe.

NB: Kiss huwa haiombwi inatakiwa ije automatically kutokana na hisia za mtu kwako.

MUHIMU ZAIDI : Kama kuna mtu ulikuwa ukimfikiria wakati ukisoma haya maelezo, basi unampenda fanya mchakato!

@ Kuna mtu namfikiria soon nitasema.
FB_IMG_16713558416751178.jpg
 
View attachment 2450557

Back
Top Bottom