Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,192
- 680
mkuu hii sijaisikia. ila habari nilizozipata kwa mida hii kuwa watu wa kaskazini wameamua wengiwao kususa kupiga kura.mzee, nasikia mpaka dk kamfukuza mkuu wa wialya
nasikia mkuu wa wilaya ya kati. nasikia alihoji kwanini tume ya kura ya maoni inawashawishi watu kupiga ndio badala ya kuelimisha. kusikia mzee kamweka stop
Kheee heee heee.... Eeeh!...leo kwenye gazeti la mwananchi Rais Aman anataka picha yake ilioibiwa Ofisi ya Chama Kiswandui na ambayo ipo Kisonge irejeshwe kwa kweli Kisonge huu ni mwaka wao
Maskan kaka ya ccm ya kisonge iliopo unguja eneo la michenzani round about, ambayo kwa miongo mingi ikitamba kuendesha siasa zanzibar na kuamini kuwa wao ndio wenye nchi wako ktk hali mbaya.
Jaribio lao la kwanza la kutaka kumsimika dr bilal awe rais wa zanzibar ili waendelee kuitawala ikulu na kuziburuza siasa za zanzibar lilishindwa dodoma kwa kuchaguliwa dr shein kuwa rais wa visiwa hivyo vya karafuu.
Baada ya hapo wakaanza kazi ya choko choko za chini kwa chini kushawishi wazanzibari hasa waunguja kukataa kura ya maoni kwa kupiga kura ya hapana na kusambaza vikaratasi kila kona.
Jana mheshimiwa rais wa zanzibar kawaondolea uvivu wakati alipokuwa akifungua majenereta yatakayozalisha umeme wakati wa dharura. Kawanyamba hadharani. Kawaambia ikiwa ccm imekaa na kuwataka wanachama wake wapige kura ya ndio wao ni nani kujifanya ai miccm wakubwa kuliko chama. Kwa hakika kawaumbua sana na nategemea kisonge siku zake za kutamba zimefika ukingoni
Nilini shein kachaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar?
mkuu hii sijaisikia. ila habari nilizozipata kwa mida hii kuwa watu wa kaskazini wameamua wengiwao kususa kupiga kura.
wao bado wanaendekeza ile chuki ya uarabu, na kuaminishana kuwa mchele na kokoto mseto haupikiki.
na kisonge na wahuni wachache wa CCM wanaendekeza hio fitina na wakidai ati wanataka ASP yao, wao wamekuwa ndio wafurukutwa na wapenda zanzibar kuliko yeyote.
kazi wanayo wana kisonge
kwenye bao lao la matangazo nasikia wameandika " kula mseto ni hiyari ya mtu"