O onyx JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 1,587 Reaction score 1,318 Feb 15, 2017 #1 Huyu dada ana nyimbo kali mpya inaitwa kismet, ila nimeshindwa kuiweka hapa.Tangia aanze kuimba bongo fleva akichanganya na staili nyingine amekuwa mkali. Mwenye kuweza kuiweka hapa aiweke, tupate burudani
Huyu dada ana nyimbo kali mpya inaitwa kismet, ila nimeshindwa kuiweka hapa.Tangia aanze kuimba bongo fleva akichanganya na staili nyingine amekuwa mkali. Mwenye kuweza kuiweka hapa aiweke, tupate burudani
Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,594 Reaction score 1,863 Feb 16, 2017 #2 Ase huyu mama namuelewa.. Sijui kwa nini taarabu aisikiki mbali zaidi ya Africa mashariki tena zaidi tz na kenya
Ase huyu mama namuelewa.. Sijui kwa nini taarabu aisikiki mbali zaidi ya Africa mashariki tena zaidi tz na kenya