Kisiwani Zanzibar-Beautiful and Strange!!!!

Hivi hicho kiwanja kimepimwa na kutolewa hati. Kama vile mtaa wa... kitongoji cha... tarafa ya... kata ya...
 
Hii nyumba imetengenezwa kama boat ni nzuri!!I wish ningeiona ndani ilivyo!
 
Ndo maana Nuhu Mziwanda wa shihi aliwahi sema kua Zanzibar is a highland of Africa
 
unapima kwa macho harufu
Naapa Mungu sikuwa nafahamu kabisa.

Ujue kuna mipaka kati ya bibie na mme, mimi niliongeza uhuru kwako nikitarajia wewe ni mme kwa kweli nlistaajabu sana kuja sikia wewe ni bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…