KISIWA CHA THANDA

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,743
25,535
0f31267d4438c871cb933d4c26dc64d7.jpg

...Kisiwa cha Thanda kilichopo Tanzania Wilaya ya Mafia kusini mwa nchi, ndicho ghali zaidi duniani kwa binadamu kuishi, Gharama zake ni dola elfu kumi (10,000$) za kimarekani kwa siku sawa na Shiling milioni ishirini za Kitanzania kwa siku.
Kisiwa hiki kinamilikiwa na kampuni ya utalii ya Zululand toka Afrika Kusini, ambapo kuna Hoteli yenye hadhi ya kidunia.
Haifahamiki kampuni hiyo inalipa kodi kiasi gani katika Serikali ya Tanzania, ama ilishauziwa eneo hilo la ardhi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom