Kisima Cha Maji

Kisima Cha Maji

abasi yahya

Member
Joined
Aug 19, 2015
Posts
8
Reaction score
23
[Tunakamilisha Mradi]...

Ufungaji wa pump, uwekaji wa tenki na kufunga mifumo ya maji kutoka kisimani kupeleka katika nyumba kwa ajili ya matumizi

√ Pump Brand: Doyin Submersible Pump

√ Power: 1.5HP

√ Urefu wa kisima: mita 140

√ Site: Goba - Kinondoni - Dar Es Salaam
____

Wataalamu Wa Maji [Uchimbaji Visima Na Mifumo Ya Maji]

Leo hii unaweza kupata huduma yetu ya uchimbaji kisima... kama uko serious na unataka kupata kisima chenye maji mengi ya kudumu 2023 nakushauri upate huduma yetu sasa!!!
____

Huduma Zetu | Our Services

1. Geophysical Survey (Upimaji Maji Ardhini)

2. Water Well Drilling Services (Uchimbaji Visima Vya Maji)

3. Water Well Flushing And Rehabilitation (Usafishaji Na Ukarabati Wa Visima Vya Maji)

4. Pump Installation And Services (Ufungaji Wa Pump)

USHAURI NI BURE

0718600290 | 0745687585
visima_maridadi-20230408-0002.jpg
 
Katika vitu ambavyo sijawahi jua ni bei za kuchimba kisima hawawekagi wazi hawa wanao deal na hayo mambo.
Janja janja sana. Wengi survey 150k hadi 250k na wengi kuchimba 35k kwa mita.

Kuchimba kisima gharama sana.
 
mi nahitaj kuchimba kisima ila wasiwasi nilio nao juu ya makampuni ya uchimbaj ni mkubwa sana
 
[Tunakamilisha Mradi]...

Ufungaji wa pump, uwekaji wa tenki na kufunga mifumo ya maji kutoka kisimani kupeleka katika nyumba kwa ajili ya matumizi

√ Pump Brand: Doyin Submersible Pump

√ Power: 1.5HP

√ Urefu wa kisima: mita 140

√ Site: Goba - Kinondoni - Dar Es Salaam
____

Wataalamu Wa Maji [Uchimbaji Visima Na Mifumo Ya Maji]

Leo hii unaweza kupata huduma yetu ya uchimbaji kisima... kama uko serious na unataka kupata kisima chenye maji mengi ya kudumu 2023 nakushauri upate huduma yetu sasa!!!
____

Huduma Zetu | Our Services

1. Geophysical Survey (Upimaji Maji Ardhini)

2. Water Well Drilling Services (Uchimbaji Visima Vya Maji)

3. Water Well Flushing And Rehabilitation (Usafishaji Na Ukarabati Wa Visima Vya Maji)

4. Pump Installation And Services (Ufungaji Wa Pump)

USHAURI NI BURE

0718600290 | 0745687585
View attachment 2580995
Hiyo pump hapo inaitwaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom