isaya mwasetuka
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 101
- 23
hzo nguvu za giza wangetumia kujenga mabarabara mazuri,kuboresha maisha yetu ungekuwa na faida sana,tatizo wanaumizana,miafrika bwana sijui tuna laana gani
Acha ushamba , ukichimba shimo na wewe ukaingia ndani na uka kaa humo , utakufa kwa kukosa oxygen.Habari za kuaminika kutoka sumbawanga televishen(S-TV) Zinathibitisha kutokea maajabu ya kusisimua ktk kata ya chanji mjin sumbawanga ni baada ya watu wawili kufariki dunia na mmoja kuzimia ktk kisima kimoja kilichochimbw na mchimbaj ambae jina lake halikufahamika.Ilikuwa tar 24.12.2013 baada ya mwenye nyumba kuita mchimbaji alifia shimon kafuata muokoaji pia jafa akafuata mwingine yaan m2 wa tatu aliofungwa kamba na waokoaji wengine akanusurika kwa kuvutwa na kamba aliyofungwa hivyo kuzirai.Inasadikika kuna nguvu za giza maana hata kuwatoa marehemu walitumia waganga wa kienyeji.
Acha ushamba , ukichimba shimo na wewe ukaingia ndani na uka kaa humo , utakufa kwa kukosa oxygen.
Ndio maana wachimbaji wa madini wanahakikisha kuna compressor ya kuingiza hewa mpya shimoni.
Jitahidi kuelimika kijana!
Ni sawa usemavyo ila inategemea na kina cha urefu wa hicho kisima.
Otherwise waulizwe hao wadau waliokuwapo hapo na hiyo aliezirai akaokolewa je hawakuvuta hewa yenye harufu mbaya kama vile ya ushuzi au yai bovu?
Kama hiyo harufu ilikuwapo basi hao wamevuta hewa ya sumu inayoitwa Hydrogen Sulphide (H2S). Na watakuwa wamevuta zaidi ya kiwango cha salama which.is 5ppm.
Kisayansi kuwepo hali inatokana na bakteria ambao wanaishi kwa kupumua kwa nji inayoitwa aanaerobic respiration.
Hapo pahala panaweza kuwa kuna aina fulani ya biomas gesi inaitwa methane ambayo ni nzuri kama nishati mbadala. Au itakuwa kuna madini fulani hapo.
Cha muhimu hiyo hewa waliyovuta hapo inaweza kuwa ni hiyo hewa sumu ya hydrogen sulphide.
Muwe na hadharin sana msikurubie hapo pahali.
Mtu yeyote atakekumbana na hiyo harufu basi aelekee upande unaotokea upepo huku anaondoka bila ya kukimbia.
Huo uchawi wange mboost Pinda awe kama EL lakini asiibe awe tu muwajibikaji ,serikali ya JK ingekua mbali sana
Sawa kabisa na ningekubaliana na maelezo yako kama mtoa mada angesema shimo lililochimbwa lilikuwa fupi mithili ya kaburi na bado jamaa wakufa kwa kuvuta hewa hiyo.Ni sawa usemavyo ila inategemea na kina cha urefu wa hicho kisima.