isaya mwasetuka
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 101
- 23
Habari za kuaminika kutoka sumbawanga televishen(S-TV) Zinathibitisha kutokea maajabu ya kusisimua ktk kata ya chanji mjin sumbawanga ni baada ya watu wawili kufariki dunia na mmoja kuzimia ktk kisima kimoja kilichochimbw na mchimbaj ambae jina lake halikufahamika.Ilikuwa tar 24.12.2013 baada ya mwenye nyumba kuita mchimbaji alifia shimon kafuata muokoaji pia jafa akafuata mwingine yaan m2 wa tatu aliofungwa kamba na waokoaji wengine akanusurika kwa kuvutwa na kamba aliyofungwa hivyo kuzirai.Inasadikika kuna nguvu za giza maana hata kuwatoa marehemu walitumia waganga wa kienyeji.