Kisima cha kutunzia maji ya mvua

Futi20 mil9 we jamaa utapigwa danya makes u hYa mambo madogo tumieni mafundi wa hapo kijijini n wewe mweneyewe tumia common skills comon skills matofali ,safruji ,nondo, mchanga kokoto lZima ujue bei na kiwango idadi
Wapi kaandika futi 20 mil 9?
 
Maji ya mvua yana vumbi sana. Aidha, huwa yananuka sana yakikaa muda mrefu. Hivyo, ushauri wangu ni kuchimba kisima.
Hayawezi kuwa na vumbi,ni Kama tumeyatumia mara nyingi,isitoshe tutaweka dawa. Japo sawa hayawezi kuwa sawa na ya kisima kwa ubora. Tuna compare na gharama pia. Asante kwa maoni pia sister.
 
Daah...! Umeua kamanda,asante sana. Hilo la cement yupo mtaalam atasimamia. Isitoshe kuhusu tofali kaniambia tutatumia hizi za kuchoma ila atazipanga kama unavyojengwa msingi ili kuufanya huo ukuta wake usipungue futi moja upana wake,hiyo ni kuanzia chini mpaka juu. Zaidi umeongezea kitu ambacho yeye hakusema kuhusu hiyo karatasi la nailoni nyeusi kwa chini. Asante sana mkuu
 
Maji unayachuja, unatengeneza chamber yenye chujio kabla ya kuingia yanapitia hapo yanachujwa then yanaingia kwa shimo. Vumbi hakuna hapo.
Nikishauanza huu mpango nitakuwa nakucheck kwa maswali kwa baadhi ya vipengele mkuu. Asante sana
 
Lita 60,000 ni sawa na ndoo za maji 3,000 (ndoo 1 ni lt 20)
3,000÷12=250 ie ndoo 250 kwa mwezi au ndoo 9 kwa siku. Fanya tathmini hapo kwako unatumia ndoo ngapi kwa siku, then utakua na jibu.
Duuh...! Asante sana mkuu,kunileta huku ambako sikufikiria kabisa kuhusu calculation ya namna ya matumizi pia. Lakini nafikiri hapo mkuu tufanye 3000÷6 ksbb ile miezi ya kuanzia wa 11 mpaka wa 4,5 hapo ni sawa na kwamba tutakuwa hatutumii maji yetu ya kisima,japo tutakuwa tunatumia,lakini yanarudishiwa zaidi kwa mvua zitakazokuwa zinaendelea kwa kipindi cha miezi hiyo. Kwa hiyo maji ya akiba zaidi tutaanza hesabu nayo mwezi 5,6,7,8,9,10 ambayo kutakuwa hakuna mvua
 
Sio kweli ndugu

Mi natumia haya kwa miaka 10 sasa, sijaona shida yake, natumia kwa kila kitu kunywa na kupikia na kupikia.
Asante mkuu. Nakuhitaji sana pia kwa ushauri mkuu
 
Miaka 10? Ni bora uyafungulie ukinge mengine.
Sio kwamba miaka 10 anatumia hayo hayo yaliyomo kwenye kisima. Anamaanisha ametumia maji ya mvua kwa miaka 10 bila athari yoyote. Hata hivyo kukujibia hilo,kila mwanzo wa mvua,mfano kila mwisho wa mwezi 10 kila mwaka nafikiri kisima kinasafishwa
 
Futi20 mil9 we jamaa utapigwa danya makes u hYa mambo madogo tumieni mafundi wa hapo kijijini n wewe mweneyewe tumia common skills comon skills matofali ,safruji ,nondo, mchanga kokoto lZima ujue bei na kiwango idadi
Sawa mkuu,nalo neno. Kuna Eli79 amesema ni kama milioni 4 hivi. Au wewe unaona gharama inaweza kuwa sawa na milioni 9 mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…