Asante mkuu. Kwa mtaalam kaniambia zitatosha,kwa sababu mvua max zinaanza mwezi wa 11,zinaendelea mpaka wa 5 hivi,zitakoma kisima kitakuwa kimejaa. Tutatumia mwezi wa 6,7,8 9,10. Zaidi hizo lita 60 elfu tutazitegemea kwa hiyo miezi mitano mpaka 6. Kaniambia yatatutoshaMaji yanakuwa salama kabisa. Uangalie tu hizo lita 60 zitatosha kwa mwaka mzima? Maana mvua ni za msimu tu.
Maji unayachuja, unatengeneza chamber yenye chujio kabla ya kuingia yanapitia hapo yanachujwa then yanaingia kwa shimo. Vumbi hakuna hapo.Maji ya mvua yana vumbi sana. Aidha, huwa yananuka sana yakikaa muda mrefu. Hivyo, ushauri wangu ni kuchimba kisima.
Lita 60,000 ni sawa na ndoo za maji 3,000 (ndoo 1 ni lt 20)Wana JF wote nawasalimia kwa umoja wetu. Bila kupoteza muda naombeni ushauri.
Home kijijini kwetu kuna hali ya uhaba wa maji,nilikuwa nina mpango wa kuchimba kisima cha drilling. Sasa jana kuna mtaalam amekuja akanishauri ili kupunguza hizo gharama za kisima cha drilling zinazofikia milioni 8 mpaka 9,akanishauri tuchimbe kisima futi 20,kijengelewe vizuri kifungwe juu.
Gharama ya hii ni usiyozidi milioni 3,then niwe navuna maji ya mvua lita zisizopungua 60,000 kwa mwaka. Tunayatia dawa,water gud.Nayavuta kupandisha juu kwenye tank then tunaya-saplay nyumba nzima kwa matumizi ya kupikia na kufulia na kuoga. Sasa nauliza mwenye uzoefu vipi kuhusu hayo maji na huo mpango?
Kumbuka kuanzia mwezi wa tano mwashoni hadi wa kumi ndio kukame, miezi mingi mvua zinanyesha. 60,000 litres ni nyingi sana.Lita 60,000 ni sawa na ndoo za maji 3,000 (ndoo 1 ni lt 20)
3,000÷12=250 ie ndoo 250 kwa mwezi au ndoo 9 kwa siku. Fanya tathmini hapo kwako unatumia ndoo ngapi kwa siku, then utakua na jibu.
Soma post ya mtoa mada kabla huja commentKumbuka kuanzia mwezi wa tano mwashoni hadi wa kumi ndio kukame, miezi mingi mvua zinanyesha. 60,000 litres ni nyingi sana.
Maji ya mvua yana vumbi sana. Aidha, huwa yananuka sana yakikaa muda mrefu. Hivyo, ushauri wangu ni kuchimba kisima.
Hakuna tatizo, utapunguza gharama kubwa sana. 20' deep, 15' diameter gharama inaweza kufika 4m au zaidi kutegemeana na eneo husika.
Muhimu tu utumie tofali imara, usiwe bahili wa cement, ukiweza weka wire mesh ili kuimarisha kuta, chini weka ile nailoni nyeusi ili kuzuia maji kupotea, jenga msalaba ili kuimarisha kuta na hakikisha unalifunika ili mwanga wa jua usipenye ndani. Ukifanya hivi hata hizo water guard utaweka kwa utashi tu ilà haitakuwa lazima.
Utaokoa gharama nyingi kununua maji.
Sio kweli ndugu
Mi natumia haya kwa miaka 10 sasa, sijaona shida yake, natumia kwa kila kitu kunywa na kupikia na kupikia.
Miaka 10? Ni bora uyafungulie ukinge mengine.Sio kweli ndugu
Mi natumia haya kwa miaka 10 sasa, sijaona shida yake, natumia kwa kila kitu kunywa na kupikia na kupikia.
Futi20 mil9 we jamaa utapigwa danya makes u hYa mambo madogo tumieni mafundi wa hapo kijijini n wewe mweneyewe tumia common skills comon skills matofali ,safruji ,nondo, mchanga kokoto lZima ujue bei na kiwango idadiWana JF wote nawasalimia kwa umoja wetu. Bila kupoteza muda naombeni ushauri.
Home kijijini kwetu kuna hali ya uhaba wa maji,nilikuwa nina mpango wa kuchimba kisima cha drilling. Sasa jana kuna mtaalam amekuja akanishauri ili kupunguza hizo gharama za kisima cha drilling zinazofikia milioni 8 mpaka 9,akanishauri tuchimbe kisima futi 20,kijengelewe vizuri kifungwe juu.
Gharama ya hii ni usiyozidi milioni 3,then niwe navuna maji ya mvua lita zisizopungua 60,000 kwa mwaka. Tunayatia dawa,water gud.Nayavuta kupandisha juu kwenye tank then tunaya-saplay nyumba nzima kwa matumizi ya kupikia na kufulia na kuoga. Sasa nauliza mwenye uzoefu vipi kuhusu hayo maji na huo mpango?
wappi hukoo mkuu