mi ningemrudisha kwao baada ya hapoNilikuwa na binti mmoja mfanyakazi wa dukani,alivyokaa town na kujua kupiga pamba za kubana makalio,siku moja alitembelewa na wazazi wake kwa mapigo hayo,ambao walifikishwa pale na mtu anayepafaham,hauwezi kuamini binti alikuwa anakana ya kwamba ni wazazi wake akisingizia ni wazee tu wa huko kijijini.
Yap!,na hicho ndicho nilichokifanya baada ya siku tatu za kuhakiki mahesab.,"kwa kweli hata mashost zake walimshangaa".mi ningemrudisha kwao baada ya hapo
Kama naona ramani ya tanzania kwa hapo chini kabisa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kuna wa zaidi ya hiyo? Sidhani aisee!
ana undugu na huyu?
Mungu awasaidie!Wapo kitu kina mpaka crater.. yaan mpasuko juu ya mpasuko