Kisiasa, mwaka 2017 CCM imeimarika sana!

PoliCCM yao. Maelekezo kutoka juu.

Mwandiko wako unasadifu jina lako. Jinga wewe
 
Upuuzi ukiandikwa na Mr 0 huwa ni kawaida kabisa,kachukue buku 7 Lumumba
 
Nchi hii ukidhani umeona mpumbavu wa mwisho ,anatokea mwingine kama huyu!
 
CCM imeimarika katika siasa na uongozi bora.

CHADEMA wameimarika katika kutetea wezi, mafisadi na wauza dawa za kulevya.
 
Siasa ni hesabu,sayansi,na mengineo hiyo 2017 hesabu zilikaa vizuri sayansi ikaongezea ndo maana wamepas divisions 1 ccm
 
Imeimalika ilikuwa inashindana na nani?
 
Hakuna demokrasia nzuri kama kuteua wapinzani katika nafasi za kiserikali.Hilo limefanyika mwaka huu
Nitaamini maneno yako siku nikisikia TL ameteuliwa kuwa lawyer mkuu wa govt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…