Kisia wapi hapo ? Brazil?

Naona kama panafana na Nyarugusu kwa hilo jengo lililopakwa rangi ya Yanga.
 
Hapo ni Mtani Jembe mkuu na hiyo sehemu iliyojaa maji ndio uwanja mtajiwa wa wenzetu
 
Hapo si ndiko Manji amewekeza kwenye uvuvi wa dagaa hilo jengo la njano ndio sehemu ya kutotolewa vitoto vya dagaa.
 
hawa binadamu wanashangaza sana wanaenda kuweka kambi visiwani kwa ajili ya upepo mwanana wa bahari wakati bahari ipo kwenye kiwanja chao kabisa...😛eep:
 
Kuna wanayama wawili wanashangaza sana, hawa ni digidigi na sungura, kila mmoja anasema mwenzake hana mkia hebu angalia hapa chini uone hizi picha na utaelewa nazungumzia nini:
 

Attachments

  • untitled.png
    30.5 KB · Views: 73
  • untitled2.png
    32.7 KB · Views: 68
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…