Kisia huyu ni dume au jike?

wewe ndo unaweza kutupa jibu kama ni dume au jike
manake kuna mawili,aidha ushawahi kudhihirisha ujike wake na ushawahi pia kudhihirisha udume wake!
yani two at ago!
sawa'aaaaaaaaaaah!!!!
SO TUAMBIE!
 
kweli jf kuna viroja, sasa mtu kama huyu anajulikana alafu anauliza! MziziMkavu umenikumbusha uzi mmoja uko hapa hapa unasema 'huyu ni ntu dume ntu jike" :-\
 
nakuuliza wewe!unayeshabikia salama lesbian!
UMENIUDHI!
Mkuki kwa kunguruwe........ee

hivi dada we hujui kama salama ni lesbian!
kama nimekuudhi nisamehe dada,
sorry daaada, ngoja nirushe kifuta machozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…