Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Muulize yeye , hatuhangaiki na wala rushwaOle sabaya ana taarifa?
unadhani ni kwanini wabunge wa ccm wanaogopa kuitisha mikutano ya hadhara kwenye majimbo yao ?Mbunge kuzungumza na wananchi wa Jimbo lake siku hizi ni Habari?
Hizi ni dalili za mbunge huyo kupoteza legitimacy wa kuendelea kuwa mbunge...
Ha ha ha, huyo jamaa kazi aliyopewa ngumu... eti kumzuia Mbowe Hai..kwao...Ole sabaya ana taarifa?
Partisanship has completely cursed your mental ability.........the silliest girlKuunguruma Hai? Kwani amekuwa mnyama Simba?
Hoja yako kimantiki inaonyesha Mbowe hajafanya mikutano na wapiga kura wake muda mrefu mpaka unadhani ni jambo la ajabu sana kwake kuongea na wapiga kura wake!
Kuunguruma Hai? Kwani amekuwa mnyama Simba?
Hoja yako kimantiki inaonyesha Mbowe hajafanya mikutano na wapiga kura wake muda mrefu mpaka unadhani ni jambo la ajabu sana kwake kuongea na wapiga kura wake!
View attachment 1370832
Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria !
Wote Mnakaribishwa .
Bwashee pigo moja tu, mmeanza kutetemeka!Ole sabaya ana taarifa?
Ni swala la utaratibu tu bwashee!
shuleni ulijua legitimacy katika kiingerezaMbunge kuzungumza na wananchi wa Jimbo lake siku hizi ni Habari?
Hizi ni dalili za mbunge huyo kupoteza legitimacy wa kuendelea kuwa mbunge...
CCM ni wepesi kuliko pamba