wacha wee, nusu tani? Du!!! sijajua bwana.Kama uwezo wake ni kubeba nusu tani kg 500 huo mzigo bado ni mdogo
Mkuu labda macho yangu lakini kama nimemuona miss chagga akiwa Matege wamekatiza hapo.........?????
mi napenda ela ila mwenye huo mzigo nakwambia ni mpare kabisaaa.. hao jamaa ni mabahili mfano hakuna.. wanafatiwa na wale jamaa warefu kwenda chini wa kule kwa kina ommy dimpoz
Tutonga na bajeti....
hahaaaaaa.. iyo bajeti offside mtani.. loh
Haaa nyie hamjioni mtani..