Kishimundu moja

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji617][emoji193][emoji23]
 
Wakirudi class watakuwa wanatema lugha ya malkia kama wamezaliwa huko
 
Hao wameenda shuleni wakaambiwa ni sikukuu leo, kwahiyo wakaona ni vyema wafurahie matunda ya viwanda vyetu vya hapa nnchini, kwakuwa na wao ni wadau ktk kuleta nnchi hiyo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji22] [emoji22] [emoji75] [emoji75] [emoji75] [emoji75]
 
wana jenga ujasiri wa kutafuta hela kwa njia yoyote ile....ila mbege ina raha yake asikwambie mtu....ukitaka kujua watu wanai follow weka kwenye lita moja then panda nayo hata hapa mjini kwenye bus then fungua kifuniko harufu ikisikika watu wote utawaona wanatabasamu tu lakini ikiwa ni harufu ya pombe nyingine utaona watu wanaanzakukunja sura
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ccm wametuaribia watoto.


swissme
 
Hao wameenda shuleni wakaambiwa ni sikukuu leo, kwahiyo wakaona ni vyema wafurahie matunda ya viwanda vyetu vya hapa nnchini, kwakuwa na wao ni wadau ktk kuleta nnchi hiyo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu vizazi vijavyo tusitegemee TZ ya viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…