Kishimba azidi kutamba,lembeli azidi kunywea


Mkuu kumbe hata ww hujui historia ya KISHIMBA (Mgombea) na haujui historia ya KISHIMBA (shule ya sec)
Kama hujui kitu jaribu kuwa unauliza kwanza. Labda uwe unaongelea shule ya KISHIMBA nyingine tofaut na ninayoifaham mm. Ninayoifaham mm na nahisi ndio ulioitaja hapo juu ni shule iliopo kata ya MALUNGA kitongoji cha MWAMVA, ipo kushoto kama unayokea MANZESE, au kulia kama unatokea kahama mjini.

Nakuja na jibu lako na ufafanuz mzuuuuri juu ya kishimba, mali zake, historia yake na kwanini anagombea ubunge jimbo la KAHAMA.

vuta subira nakuja na kila kitu
 
Cdm ni full viroba,akili hakuna,ubishi tu usio na tija,shame on you cdm
 

kishimba hakubaliki kwa lolote acha kudanganya umma! amekuwa zimbabwe kwa miaka kibao akifanya biashara zake
na wala hakuwahi kujenga shule kama unavyojaribu kumpamba,shule ile ni michango ya wana kahama wote nikiwepo mimi.kishimba arudi akaendelee na biashara zake kwan hata kuongea na kujenga hoja hajui. MBUNGE WETU NI JAMES DAUDI LEMBELI.
 

Yes kamanda.sasa tujiulize, hii pesa atatoa wp na atairudishaje??? Kama inawezekana kwa kuwa yeye ana pesa, basi aanze kuijenga sasa,sio lazima achaguliwe kwanza.
 
We wasema atashinda kishimba ndo nini apana kumpa shetani mfumo gani huo
 
wewe na huyo mjinga mwenzio kashimbe, kamweleze aende akawadanganye ndg zako na zake atajenga barabara???????? serikali yake imeshindwa yeyey ataweza??? hizo ngojera ni miaka hiyoooo nitaleta maji, umeme nk. siyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…