Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"
kwi kwi kwi.....uchi wa kuku mtauona punde
Lembeli hana chake kipindi hiki awaache wazalendo waungane kuleta maendeleo#Hapa Kazi Tu.
lowassa rais,
Lembeli hana chake kipindi hiki awaache wazalendo waungane kuleta maendeleo#Hapa Kazi Tu.
Ndugu yangu usidandie meli kwa mbele Kishimba namfahamu ni mtu wakujitolea tangu siku nyingi ni mzalendo wa kweli alijenga shule ya sekondari kwa ghalama zake na akikabidhi serikali bila fidia niambie nani anaeza akafanya hivo mwingine.Huyu anayesema atajenga kilomita 20 za lami na wajinga Kama wewe mkashangilia hizo hela za kujenga lami atatoa mfukoni kwake?
Hivi kwa nini watu mnashindwa kuelelewa kuwa Mbunge hatoi hela zake mfukoni Bali anafuata budget ya serikali!
Lembeli hana chake kipindi hiki awaache wazalendo waungane kuleta maendeleo#Hapa Kazi Tu.
Mgombea ubunge jimbo la kahama mjini Mh.Jumanne Nkandi Kishimba...amesema kwamba atajenga kilometre ishirini za rami mjini humo...akihutubia wakazi wa kata nyahanga,mheshimiwa Nkandi alisema..tatizo la mji wa kahama ni miundombinu ya barabara,msongamano mkubwa ktk hospitali ya manispaa ya kahama....yeye akichaguliwa na wanakahama atatatua kero hizo ikiwemo na kuunganisha umeme wa uhakika ktk mgodi wa Buzwagi.....Kishimba amekuwa mdau mkubwa ktk kuchochea maendeleo ktk wilaya yake ya kahama ikiwemo kujenga shule na kuikabidhi serkali....pia sehemu ambazo wananchi waliitaji mchango wake bwana kishimba hakuwaacha nyuma....Hivyo kwa jinsi upepo ulivyo kahama Lembeli ana hali ngumu sana ya kisiasa...lembeli amekuwa akikutana na maswali mbalimbali kwamba"tangu awe mbunge kahama..amefanya nini kahama ili wanakahama wamkumbuke?"
Lemberi ni mbunge wetu
Na CHADEMA ni chama chetu!