kisheria; RA,EL &CO ni watu CLEAN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kisheria; RA,EL &CO ni watu CLEAN

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Julius Kaisari, Jan 20, 2011.

 1. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ama kweli WONDERS NEVER CEASE! Ndugu zangu wana Jf, hizi fikra za ubinfsi wetu zinazotutuma kupiga kelele hadi sasa katka kona ya Sheria sisi wote tulipaswa tuwe lupango.. Ndio,tunawatuhumu rostam,lowasa chenge,mkono,msabaha,mramba &co. Eti ni wevi mafisadi.. If so mbona wanadunda uswazi? Yaan kwa ufupi ktk kona ya sheria,watz wakereketwa,pamoja na wanaJf tunaodhani tupo huru kifikra wote ni wahaini,na tulipaswa tuwe segerea.!
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  hujaeleweka,,,
   
 3. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  sema hujanielewa!.. Kwani unavyolalamika ooh rostam or lowasa ni wevi,mafisadi huoni unawachafulia majina yao?umewahi kwenda kuwashitaki kuhalalisha vijikelele vyako? Au na hapa hujaelewa?
   
 4. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Tatizo hakuna anayethubutu kuwashtaki hata kama wameiba.
   
 5. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  umenena..nakupa 5! Hakuna anayethubutu kwenda kortini..ndiyo!.si wanaharakati,si wanasheria,wote ni mbwa koko aloweka mkia wake makalioni!
   
Loading...