abuumwasiti20
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 287
- 352
Hivi jamaan ni udhalim gan anaopambana nao lema?mbona tunajitoa ufaham nakua wajinga tusiokua naakili?lema amekua mbunge kwa miaka mingap hapa arusha naomba mnambie niishu gan yenye msingi aliyowahi kupambania kwa wananchi mpaka mmuhangaikie namna hiyo nawaswas naakili zenu maana huku arusha wala viroba na bange ndo wafuas wake