Kisheria Lema anaweza kutorokea nchi nyingine

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
 
Kwanini akimbie??Wanaokimbia nchi yetu kwa sasa hatuwahitaji.
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
Kama anapenda kuhama nchi ushauri wangu ahamie Somalia
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu

Atatokaje wakati yupo mkononi mwa sheria?
 
Hiyo iko wazi hata ndugu yake na kabila yupo south Africa baada ya figisu figisu congo.....
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
Wanaweza kumnyang'anya passport na kumzuia kusafiri sehemu yoyote ile
 
hiv unafikiria nini wewe? kamanda akimbie nchi ambayo ndio ardhi ya mama na baba yake kisa nini??
gaidi?
kaua?
jambazi?
hebu jiangalie aiseee
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
Kimsingi sijaelewa ni maneno gani ya uchochezi aliyoyatamka Mh amayesota jela naomba mmoja aelezèe kwa ufupi sana.
 
Back
Top Bottom