Kisheria Lema anaweza kutorokea nchi nyingine

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
 
Kwanini akimbie??Wanaokimbia nchi yetu kwa sasa hatuwahitaji.
 
Atoroke kisa cha nini ?! Kwani watesi wao wataishi milele kwa amani ?!

Ni ulevi tu wa madaraka kwa mwafrika, lakini sote mbele za Mungu tuko sawa
 
Hana haja ya kukimbia, ameapa kupambana na udhalimu hadi tone la mwisho, acha apaze sauti badala ya waoga
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
Kama anapenda kuhama nchi ushauri wangu ahamie Somalia
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu

Atatokaje wakati yupo mkononi mwa sheria?
 
Kukimbia czani kama ni sahihi ukiwa unadai au unahitj kuoata haki ya kitu flani na hakijatimia ukikimbia ni mgumu kukipigania ukiwa nje
 
Hiyo iko wazi hata ndugu yake na kabila yupo south Africa baada ya figisu figisu congo.....
 
Aende South Africa akapewe hifadhi ya kisiasa.hali si shwari hapa ndani
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
Wanaweza kumnyang'anya passport na kumzuia kusafiri sehemu yoyote ile
 
Mahakama imeingiliwa kwa amri ya pilato hakuna haki tena
 
hiv unafikiria nini wewe? kamanda akimbie nchi ambayo ndio ardhi ya mama na baba yake kisa nini??
gaidi?
kaua?
jambazi?
hebu jiangalie aiseee
 
Kwa kuwa sheria za kimataifa zinaruhusu mtu,kiongozi kuhisi kuwa anafanyiwa figisu ruksa kufleed Anapoona atakuwa salama na mkewe na wanawe, ikumbukwe uwepo wa Jumuiya za kimataifa na Sheria zake, dola zinabeba jukumu la kuheshimu
Kimsingi sijaelewa ni maneno gani ya uchochezi aliyoyatamka Mh amayesota jela naomba mmoja aelezèe kwa ufupi sana.
 
Back
Top Bottom