kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV,madiwani wakatisha mjadala ili kujadili njaa!Sidhani kama ni kweli,wanaweza kuwa wamehongwa na wauza mahindi ya Brazil
Bila Shaka.Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV,madiwani wakatisha mjadala ili kujadili njaa!Sidhani kama ni kweli,wanaweza kuwa wamehongwa na wauza mahindi ya Brazil
Nimecheka sana leo! Nikawaza ilipo wizara ya mambo ya ndani kwakuwa mtukufu kasafiri labda ndio maana madiwani wakavunja ukimya, lakini bwana masauni si hajasafiri?Kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV,madiwani wakatisha mjadala ili kujadili njaa!Sidhani kama ni kweli,wanaweza kuwa wamehongwa na wauza mahindi ya Brazil