M mwl JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 1,101 Reaction score 914 Jun 7, 2011 #1 Jamaa mmoja alimpiga kibao jamaa ana stimu za bangi, jamaa akamuuliza: "umenipiga kikweli au umenitania? akamjibu kikweli, Mla akamwambia: Afadhali kwani mi spendi utani.
Jamaa mmoja alimpiga kibao jamaa ana stimu za bangi, jamaa akamuuliza: "umenipiga kikweli au umenitania? akamjibu kikweli, Mla akamwambia: Afadhali kwani mi spendi utani.
Hmaster JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 346 Reaction score 86 Jun 7, 2011 #2 Dah ulevi kweli ni noooooooooooooooooooooooooma!