Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,749
Kawaida magari haya yanatakiwa yawe yanafanyiwa service kila baada ya kutembea Kilomita kadhaa kwa mujibu wa Mtengezaji,
Wamiliki wa magari wengi wa bongo hawajali hayo,
Dereva akimkumbusha anamuuluza kwani gari si inatembea?
Akimwambia ndiyo, anamwambia ingiza gari barabarani.
Alietengeza gari siyo mjinga kusema gari iwe inafanyiwa service regularly,
Sasa kwa hali hiyo ikitokea hitilafu kuhu madereva wenyewe ni hao wahuni/ wehu utategemea athari itakuwa kubwa kiasi gani?