mkuu rudia kusoma ulichoandikaa, nimesoma naona meno yanagongana tuuu, ukisikia uhuru wa kuandika ndio huu, khaaaaaa......Kama Afya yako ni ngongoti isilande hayi gadi Mwana utachakaa.
Dhamira ya kutoboa ilitimia?Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea pale Dodoma kwanza anaendesha gar ovyo ovyo mno,ukilinganisha na yule Bonge.
Cha kuskitisha jana tulianza safar vizr,yule dreva Bonge alitoa dakika tatu za kuchimba sawa polini,kabla hata ya singida baada ya hapo hatukupewa muda wwte kutoka singida mpka tunaitafta morogoro.
Ghafla watu wakaanza kulalamika kubanaa na haja ndgo, ilikuwa ukiomba nafasi gar ismame unashambuliwa balaa.ghafla baba mmoja alitoka mbele kuja kwa dreva kumuomba asimamishe gar ili ajisaidie huyo dreva akamwambia chukua chupa mzee ukojoe tutoboe sisi.
Kweli mzee wa watu akachukua chupa na kukojoa humo paspo kujua madhara makubwa yatokanayo kukojoa kwenye chupa.
Kwa nini hakuamininilipanda na mzee flan hv dom to darr njia nzima kashika tasbiii yake anaswalii huku anapigia ndugu zake simu kila maraa, tunafika ubungo haaminii
Kuswahili kimenipa shida Kidogomkuu rudia kusoma ulichoandikaa, nimesoma naona meno yanagongana tuuu
aaaaahh ni kweli kbsa ndugu naona, usihofuu lugha tumezikuta hiziiKuswahili kimenipa shida Kidogo
Hahahahahaha jamaniiiiNa ninyi mlikua mnaangalia tu wakati mkisagwa kama ming'ombe!!?
Nadhani mlikuwa mnafanana na mawe ndiyo maana dereva akajua either amebeba mawe au ng'ombe.
Khaaaaa!Kisbo ndege ya ardhini..hilo wanapanda watu wa business class wew ulifuata nini humo na kibofu chako kibovu?