kwa kuiona tu hiyo picha tayari kuna watu watawafikishia ujumbe.Sidhani kama watakuwa wanajua.
We unazungumzia mateja tu! Jana mida ya jioni pale Tazara gari la maji ya Azam limepita na kuangusha baadhi ya chupa za maji basi ilikuwa balaa pale nilidhani kuna mwizi anapigwa au mtu kagongwa na gari kwa jinsi watu walivyokuwa wanagombania pale kati.napata picha mateja wetu wa buguruni watakavyoipenda hiyo gari
Tujuze zaidiHiyo GARI ni brazil sio south
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napata picha mateja wetu wa buguruni watakavyoipenda hiyo gari
Yan kama nawaona vile mateja wakifanya self servicenapata picha mateja wetu wa buguruni watakavyoipenda hiyo gari