KAKA A TAIFA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 566 Reaction score 83 May 25, 2011 #1 Siku ya matanga mtoto mmoja jirani alikuta chakula na vinywaji vimekwisha,kila alipojaribu ili pate hata kiduchu akaambiwa na watoto wenzie hakuna akatoka analia huku akiwaonya baba yake akifa hawataambulia hata maji Attachments day_photos018--450x600[1].jpg 31.6 KB · Views: 63
Siku ya matanga mtoto mmoja jirani alikuta chakula na vinywaji vimekwisha,kila alipojaribu ili pate hata kiduchu akaambiwa na watoto wenzie hakuna akatoka analia huku akiwaonya baba yake akifa hawataambulia hata maji