Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,390
Katika kikao kifupi kinachoendelea hapa Mwanza na baadhi viongozi wa chuo cha SAUT na ndugu Kisandu wa NCCR-mageuzi ni namna ya kuwasaidia wanachuo ambao hawajapata mikopo yao. mapendekezo yao ni namna serikali inavyoweza kuwasaidia kuondokana na ukata kwani hawajui wataishi vipi, hata hivyo Kisandu kawafungulia njia kwa kumwalika MH.Mbatia ili wafanye kila njia kuokoa maisha ya wanafunzi hao pamoja na hayo kisandu amechangia 500,000/= iliziwasukume walau kwa siku kadhaa.
Ntaendelea kuwapa Update.....mpaka mwisho wa majadiliano
Ntaendelea kuwapa Update.....mpaka mwisho wa majadiliano