Fikra mlazo
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 237
- 37
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??
Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.
Mauaji yapi hayo unayaongelea?
Sasa uliaka watu wame"Breach" kambi wapewe pongezi??
ujumbe umewafikia maana humu wamo tele
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??
Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.
Si hvyo kaka,ila lazma kuna taratbu za kufuata kulingana na sheria.
We mgen hapa tz hadi usijue mauaji yalotokea?
Kweli fikra mlazo hizi.
Mi sio mgeni ila sijasikia maujai ya JwTZ kama uliyosema ila katika hilo uliloliongea ni kweli kuna taratibu za kufuatwa ila kama watendaji wameamua kutumia nguvu ama kukimbia SOP zinaeleza nini cha kufanya.
Eti nini?Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??
Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.
tunasema kila siku kuwa mtu akiwa askali iwe wa polisi,mgambo,magereza,jwtz wanajiona wapo juu ya sheria
wakipelekwa vitani,
milio tuu yamabomu, yanarudi majeneza tuu.Kazi yao kuonea raia wema
wasio na mafunzo.
Leo kwa fahamu zangu zote 5 nimeona manyanyaso ya wanajeshi cjui wa JWTZ wale,kambi ya Twalipo pale mtoni sabasaba wakiwaharass vijana walokuwa wamepenya uwanjan kucheza mpira na kufanya mazoez.!
Waliwatoa mkuku,waliwapga. Walobahatika kukamatwa,walibingirishwa na baiskeli zao..najua sote twafahamu ila hadi kuwatukana matusi mazito ya nguon kbs?mbele ya umma?kisa tu wamepewa dhamana flani nchini?kisa Wajeda?au ni hko kiburi knasababisha mauaji yenu ya kila leo kushirikiana na majambazi??
Tubadilike jaman, au hamjui mnamtukanisha Amiri jeshi mkuu?badiliken jombaaz.
yaani mnapenya kambini tuwaachie aroooo yaani ningekuwa karibu hapo mpaka sasa hivi mngekuwa mnahenya sijui kwanini sajent arifonsi aliwaachia
ifike mahali tusiwachukie askari wetu, ila na sisi tujichunguze kwanza. Hivi kweli tusipowachokoza askari wetu wa JWTZ wanaweza kutusulubu bila makosa? Mimi binafsi naamini JWTZ hawawezi kunisulubu kama sijawakosea. Na kwa nini tuwachokoze??? Ukiwachokoza tu umewakumbusha machungu, watakubutua wewe!!!!!!!!!!!!. Hebu tuwaheshim,na kutii sheria na taratibu zao tunapopita katika maeneo yao.
Walifuata nini kwenye huwo uwanja na ilhali kuwa uwanja wao umezunguushiwa uzio na bango kuwa kuna mbwa mkali! Au walitaka kwenda kushuhudia ujenzi wa CASINO kwenye huo uwanja kama umeishaanza!