NeeeeextttNAENDELEA PARTY 17
Toka siku hiyo ndo nikamjua mama yangu sasa ila hata skumjari kabisa na hata leo hii sina hisia za kwamba nina mama ingawa akipataga namba yangu ananitafuta na nampa chochote ila sasa simpi kwa kuskia ndani kwamba nampa mama hapana.
Nilipomaliza drs la 7 sasa aunt alinirudsha kwa mzee dsm huko ndiko nilienda kukutana na dada angu sasa naye tulikuwa hatujuani kbs.
Nilianza secondary nikiwa kwa mzee sjui hili wala lile aisee kumbe nyuma ya pazia wale ma aunt walikuwa wanapambana sn kuhakikisha yule mama aliyeolewa na mzee apate mtoto wa kiume maana alikuwa nao wa kike tu washafika wa3 na mzee umri ukawa tyr unamtupa mkono.
Lakini pia walikuwa wanapambana mimi pamoja na yule mdogo wangu wa mwisho wanatutenganisha na mzee haya nilikuja kuyajua tayari nishapgwa 3 bila.
Nilimaliza O level nikarud tena kwa aunt na kuendelea na A level kahama huko, sasa kuna kauli yule aunt alikuwa anaztoa kwa code sana hasa akiwa amekasrika bas yatamtoka maneno mazto bahati nzuri alikuwa ananijua vema kwamba huwa sjari kabisa na ikbdi sjibu hata akiuliza sjibu na siombagi msamaha kwa vyovyote vile hasa nikigundua sjakosea hata ulie wa machozi.
Kuna kauli aliwahi niambia kwamba nisjdanganye kwamba kuna sku tarudi kwa mzee halafu nimgombanishe mzee na yule mkewe tamjua yeye ni nani.....mmmh hiyo kauli mpaka leo imenikaa sana maana bnafs hata nilikuwa sina mawazo hayo kabisa.
Kumbe kulikuwa na kampeni inapgwa mimi nisiwe na nguvu kwa mzee au kwenye family na ikitokea nina nguvu bs lazma wanitoe home kwa mzee, wakuu mpaka uchawi ulifanyika wakishrikiana na yule mke wa mzee maana walikuwa wanamuimba sana kila kona kumbe ule wimbo wao una siri kubwa sana ambayo wengi hawakuijua mapema.
Nilihitimu A level na kurud dsm nikiwa najiamin nitafaulu maana hakika nilijua mkomboz wangu ni elimu natakiwa kufika university vingnevyo mbele ni Giza kubwa, nilirudi kwa mzee akanipokea vzr matokeo yakatoka nimepga 1.9 na nikafanya process za chuo nikapata udsm pspa alooo kumbe lile jambo halikuwafurahisha akina aunt wakajua kbs sasa huyu jamaa anapga hatua na atakuja kutawala family pale na atayajua yote tuliyomfanyia mama yake lakini pia yule mwanamke tuliyempa baba yake naye atapata taaabu sana maana jamaa hatovumilia.
Vita ikaanza chini kwa chini sasa kuhakikisha sitoboi kutawala family ile yaani pale kwa mzee...
TAENDELEA
Mjue nn kilijiri..
Pole sana mkuu. Wazazi ni wazazi tuUkiona una magumu kuna wenye zaidi ya yakwako. Ila kuna watu tulipewa wazazi ambao wakati mwingine unawaza labda ingekua bora kama ungekuwa yatima siku uliyozaliwa kuliko kuwa na wazazi fulani
Mkuu pole na tunaomba utuletee kisa chako tuweze jifunza zaidiWakuu,
Haya maisha acha kabisa sikuwahi fikiri kuna siku nitabeba mzigo kichwani kama kibarua.
Loooh! Nawahurumia sana yatima yaani nilipokosa wazazi nilipata funzo la dunia.
Niliamua kutumia jina halisi JF nakuacha fake ID kwa kukumbuka tu kuwa ni napaswa kufata mambo yangu bila kuudhi mtu.
Nitaleta kisa changu ila big up sana mkuu mimi binafsi nashukuru ndugu, jamaa na marafiki waliokuwa na mimi kipindi chote. Sina chuki dhidi yao pia walio nikosea nimegundua.
MSAMAHA ni neno dogo ila LINAPONYA
MWENYEZI MUNGU awafanyie wepesi wote mnapitia magumu🙏🏻🙏🏻.
Haya maisha tunapitia mengi sana yanayosimama kama vikwazo kwenye safari ya maisha yetu.... vijicho vya watu, sIrikali😁 plus wachawi....!NAENDELEA PARTY 19
Nilianza upelelezi mzee kayatoa wp haya maneno na kwanini watu hao wamemwambia mzee hayo mambo wana malengo gani...
Mzee akanibadilikia kabisa mpka yule dada angu anayenifata siku 1 akaniuliza kwani baba ulimfanya nn mbona mlikuwa mnaelewana sn kimetokea nn nikamjibu mi sjui nn kinaendelea ila tajua tu as soon.
Nikampata mchawi wa kwanza ni yule aunt yng aliyenilea ambaye alipnga sana mimi kusoma post kwamba nitafute kazi tu, na niligundua ni mtu mwenye wivu sana kumbe hata mimi kwenda university hakufurahia maana nilipata taarifa toka kwa watu wake wa karibu kwamba alikuwa anasema mimi nimalize six nipate 4 tu kisha niende diploma ya ualimu basi maana stafaulu kwa anavyoniona.
Nilipata meengi mazito sn khs yeye mpk ya uchawi madogo waliobaki pale kwake walikuwa wanasema alikuwa anafanya vikao pale kwake na watu wachawi huko vijijini ndo walikuwa marafiki zake wanakaa hapo kwake wanapanga mambo yao lakini si hilo tu alikuwa na tabia ya kuoga nje kwenye kona ya fensi usku wa manane na madogo walinionya sn huyu aunt yako si yule uliyekuwa unamjua kwasasa kuwa makini.
Ok nikaanza pata picha sasa kwa urahisi mzee anachanganywa na nani.
Nikapata mchawi mwingne ni huyu bro niliyewambia ni mwalimu aliyekuwa jirani yangu kwenye nyumba ya mzee yeye ni kama alikuwa anacheza kama msemaji na msambaza maneno kwa mzee na ndiye alizusha kauli ya kwamba mimi nilitumia hela za mzee kusomesha mwanamke alooo.
Nikapata mchawi mwngne ni yule aunt ambaye niliwaambia kuna taarifa alikuwa anatembea na mzee mpk wana mtoto. Huyu yeye kazi yake ni kukusanya vi umbea umbea na kuvisambaza kwa watu na kwa mzee akishrikiana na mke wa mzee, nadhani mnaona hapo timu ilikuwa iko full kbs iliyomchomoa mama yangu kwake ndo iyoiyo sasa iko mzigoni kunichomoa mimi kwa mzee.
Nilijiapza nitawakomesha mmoja baada ya mwngn na nilisema nitaanza na huyu aunt inayesemekana alikuwa anatembea na mzee ama zake ama zangu na alikuwa anaishi kwny nyumba ya mzee nyngne maeneo yaleyale ya kule home.
Nilimsaka kwa kumvizia akiwa katoka job nikasema lazma nimchane ukweli nilikuwa na hasira sn.....
Nilimpata mbele ya mwanae ambaye ndiye inasemekana kazaa na mzee nilimpa kubwa kuliko stakagi mambo ya kijinga mimi akajifanya kujiliza mi ninaye tu mpk akapandisha presha ninaye tu kisha nikasepa zangu kulala sasa mi mpk hapo skuwa najali tena amwambie mzee watajuana huko maana ukizngatia tyr mi nilishaamua liwalo na liwe tu. Nipo tayari kwa lolote mpaka hapo.
TAENDELEA
Mjue je nini kilifata.
NAENDELEA PARTY 19

Mjue je
Nitarudi✅️NAENDELEA PARTY 19