Kisa kamili cha mapenzi ushauri unahitajika

wote mna makosa kwa mujibu wa maelezo yako mmemnyima haki ya kupata elimu huyo dada mnachukua visichana vidogo mnavizalisha halafu mnataka kuvitekeleza
 
Wewe ni Boya.

Nyie wanaume wa Mikoani hakawii kujiua.Jishauri mwenyewe hatutaki ushahidi humu.
 
Pumbavu! Eti nijibuni haraka????
Haya fanya maamuzi.
 
Huyo ni mke wako halali, uzinzi utakaotokea ndani ya ndoa ndo unaoweza kuwatenganisha, sio historia Yake ya nyuma, msamehe, mkabariki ndoa, mlee watoto wenu.
 
Nimemuonea huruma huyo dada, kukaa na kulivumilia limwanaume la hivi miaka mitano. Eti nijibuni haraka huoni hata aibu kuamrisha watu unaotaka wakupe ushauri, mtizame kwanza
 
mkuu haijalishi umekaa nae miaka mitano au vp.. ila ishu ya kukuficha tayari hakufai.. piga chini... achana nae tafuta anayekufaa uoe!!!
watoto watakua tu.. kama kakuficha hilo basi subiri usikie alibakwa... uone kama hujachinja mtu..!!!!!
 
Nakusikitikia kama unachosema ni kweli.Jitahidi kuwa makini,huwezi kutumia majibu ya haraka(kama ulivyohitaji) kutoka hapa jukwaani kufanya maamuzi yanayogusa maisha yako moja kwa moja.Tafakari kwa kina,mshirikishe mungu.
NB;Forgive & Forget
 
Huna ndugu wakakushauri hpo nyumbani maana kwa miaka mi5 walikuwa wakija,kosa lake ni lipi?we ulimwambia wanawake uliogegeda na kutelekeza kabla yake?Kama papuchi unaiona imekuchosa unataka mpya kwako ya zamani kwa wenzako muache tu,The less you know about your love patner the more happy you become!
 
Unajua maana ya presumption of marriage? Soma sec 160 law of marriage Act
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…