Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
unajua mbu huyu anauma muda gani????.........Habari za leo?
Wadau nependa kushare nanyi hili tatizo ninalopata mwenzenu la kunyimwa UNYUMBA na mwandani wangu kisa homa ya Dengue.Mke wangu ni mama wa nyumbani lakini yeye muda wote hufaa mavazi full kuanzia kichwani hadi soksi miguuni,na ikifika muda wa kulala hulala na nguo zake full,nikimuuliza kulikoni anasema anaogopa kung'atwa na MBU anayeambukiza dengue.
hapo chini kwenye red ni utani TOSHA...Tafadhali usilete UTANI kwenye UZI huu
Habari za leo?NB:Mavazi anayovaa wife ni haya pichani.
Naomba msaada wa mawazo na ushauri pia.
Tafadhali usilete UTANI kwenye UZI huu.View attachment 158172
mwambie aweke kishimo kwenye nguo zake kama surualli atoboe size ya kinani chako uwe unapitisha hapo
Kwi kwi kwi kwi. eti Lidushe.Msikilize mwenzio weeee...
Naona kalichoka lidushe lako huhuhuuuuhuuu
Na hapo anaogopa ataumwaa dengue ila nimecheka sanaaa loll hilo vaziii
Hilo vaz alilitoa wapii,mfichieee
Atoboe tundu dogo tu kwenye nguo zake kwa ajili ya kupitisha 'dengue' yako!
Atoboe tundu dogo tu kwenye nguo zake kwa ajili ya kupitisha 'dengue' yako!
ha ha ha ha ha ha ha uwii jf raha sana
hahahaaaaaaaaa
Mnamcheka mwenzenu wakati yeye anazidi kuumia kwa kukosa sehemu ya kutwiti 'dengue' yake? Kuweni na huruma jamani!
mwambie aje huku mimi nina pain killer ya dengua yake
mwambie aweke kishimo kwenye nguo zake kama surualli atoboe size ya kinani chako uwe unapitisha hapo