Hakuna nilipotaja imani yake tafadhali sana BAFA usipotoshe! Nilichoandika mimi ni kutaka kutetea music wa taarab usiingize virus kwenye hii postwhats your point sasa hapa yy ameacha sababu ya dini yake inamkataza ila andiko lako linajigonga gonga mambo ya kiimani yaachwe pls aheshimiwe kwa uhuru wake
Duuuu aiseee izi nyimbo Bora kisingeli sijui[emoji3] [emoji3] [emoji3] zile za zamani nilikuwa na daftari yake kabisa
Kweli mshana hamna uhuni ambao hajaufanya acha tu amludie Mungu na kwenda makka kuhiji[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu... HAYA MANENO YAKO ULIOANDIKA UMEONAHakuna nilipotaja imani yake tafadhali sana BAFA usipotoshe! Nilichoandika mimi ni kutaka kutetea music wa taarab usiingize virus kwenye hii post
basi nikwambie tu kua katika uislam mziki wowote ni kharam sio kwamba sijui taarab zamani sijui bongo freva sijui kaswida hazi pigwi msikitini wala kwenye QURAN hapana penye mtume ameimba au yesu ameimbaNdio nimeyaona..nimeandika mwenyewe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]basi nikwambie tu kua katika uislam mziki wowote ni kharam sio kwamba sijui taarab zamani sijui bongo freva sijui kaswida hazi pigwi msikitini wala kwenye QURAN hapana penye mtume ameimba au yesu ameimba
Labda kaukwaa.Hazikuwa habari njema sana siku mzee Yusuph gwiji wa taarab za kileo pale alipotangaza rasmi kuachana na mziki huu na kumrudia Mola wake...
Habari zilienea kwa kasi na mijadala ilikuwa mingi..! Wengi wakimpongeza kwa hatua yake hiyo
Mimi napingana naye...kilichomfanya aachane na huo muziki(kwa tafsiri yake ni dhambi kwa imani yake)hili ni tusi na dhikaha kwa mziki huu adhimu...lakini yametokea haya kulingana na mahitaji ya nyakati na kile alichokuwa anafanya
Kiuhalisia mziki wa mwambao(taarab) ni mziki wa asili wenye kuheshimika mno ambao kiasili ulitumika kuelimisha kuonya kufundisha kuburudisha na kufurahisha, haukuwa na matusi vijembe dhihaka wala mambo ya kishetani
Miaka ile ya 1987 ndio taarab ilianza kubadilika na kupoteza mwelekeo...ujio wa Khadija Kopa (malkia wa mipasho) na Nasma Khamis Kidogo RIP kulibadilisha mwelekeo mzima wa taarab
Leo hii taarab ni mziki wa kusutana na mambo yote mabaya..ikuwemo ushoga umalaya bifu kusemana wazi wazi nk...
Mzee Yusuph ajiuzulu tu kwa matendo yake na nyimbo zake za kishetani lakini asihusishe na mziki huu adhimu wa taarab sio haki
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]