Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,965
- 95,372
Tuli shituka sana 😂 😂
Na mimi nikishangaa hapa nikasema labda kibongobongo ndiyo kila mtoto anakuja na riziki yake hiyo.Mkuu utafyatuaje watoto ndani ya nyumba ya bure
unawaachia watu wengine mizigo mbaya sana. Kimsingi hata ukichelewa kuzaa ni kwamba utawaacha watoto wadogo, unawapa preshaNa mimi nikishangaa hapa nikasema labda kibongobongo ndiyo kila mtoto anakuja na riziki yake hiyo.
Unamleta kiumbe duniani uk8jua hata wewe mwenyewe maisha yako hujayamudu.
Unatengeneza matatizo juu ya matatizo tu.
Halafu watoto wanapewa kazi ya kuwa ombaomba.unawaachia watu wengine mizigo mbaya sana. Kimsingi hata ukichelewa kuzaa ni kwamba utawaacha watoto wadogo, unawapa presha
Kama hii story ni ya kweli mi naona yeye ndo hana shukrani na si mwenye nyumba!Duh mkali umekaa nyumba ya watu miaka 5 unasema bado haujaipanga?