Kisa cha mwanafunzi, Wazazi chungeni kulala na watoto

Kisa cha mwanafunzi, Wazazi chungeni kulala na watoto

fired

Senior Member
Joined
Apr 4, 2021
Posts
184
Reaction score
394
Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe

"Nikiangalia kopo langu la mkono,
lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."

Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana usiku nilisikia

mama akiambia baba "kama haiingii paka mate hapo kichwani ujaribu tena" kisha mama akamuuliza, "imeingia?"baba akamjibu,"ndio.

Imeingia yote" nami nimejipaka mate kichwani ni jaribu tena nione kama hii hesabu itaingia yote!!kufunza hesabu sio rahisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom