Vichekesho

mfutwa1

Member
May 6, 2020
81
233
Mvuta bangi alijiona uchi akadhani amevaa suti akauliza wenzake suti imemtoa aje . Mmoja waoakamjibu poa sana ila tu tai umefungia chini sana.

Tafakari ya babu na Swaleh Mdoe

"Nikiangalia kopo langu la mkono, lasema ni saa moja na dakika takribani kumi na kenda."

Tafakari ya babu...
"Mtoto mmoja alianza kujipaka mate kichwani katika darasa la hesabu. Mwalimu akamuuliza, "kwa nini wewe mjinga unajipaka mate? "mtoto akamjibu,"jana usiku nilisikia mama akiambia baba "kama haiingii paka mate hapo kichwani ujaribu tena" kisha mama akamuuliza, "imeingia?"baba akamjibu,"ndio.

Imeingia yote" nami nimejipaka mate kichwani ni jaribu tena nione kama hii hesabu itaingia yote.

Kitendawili, dem akisimama iko mbele lakini akiinama inakuja nyuma ni nini?
 
Ukikua uta acha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom