Mom JF-Expert Member Oct 13, 2009 708 29 May 28, 2010 #21 FirstLady1 said: siamini kama wewe huwa unasoma hadithi ..inawezekana unaprint unapeleka kwa wife anasoma kisha anakusimulia... Click to expand... te he haa! kumbe kaizer ni mvivu wa kitabu!
FirstLady1 said: siamini kama wewe huwa unasoma hadithi ..inawezekana unaprint unapeleka kwa wife anasoma kisha anakusimulia... Click to expand... te he haa! kumbe kaizer ni mvivu wa kitabu!
Regia Mtema R I P Nov 21, 2009 2,970 864 Jun 1, 2010 #22 hata kama ni kisa cha kweli kwani ametajwa yeye humu?jamani hii si hadithi tu?iendelee,tuendelezee utamu wetu bila kumsikiliza huyo mtu,mbona wapo wengi tu walioguswa na hii hadithi?
hata kama ni kisa cha kweli kwani ametajwa yeye humu?jamani hii si hadithi tu?iendelee,tuendelezee utamu wetu bila kumsikiliza huyo mtu,mbona wapo wengi tu walioguswa na hii hadithi?