kisa cha mchungaji mchaga

kisa cha mchungaji mchaga

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,139
Mchungaj: Nasema pepo toka katika jina la Yesu!
Pepo: sitoki!!!
Mchungaji: shindwa pepo! Toka na mwache huyu mtumishi wa Mungu!
Pepo: sitoki. Nimemwingia huyu mtu ili ashinde bahati nasibu ya milioni 100!
Mchungaji(mchaga): toka shetan nasema toka haraka na uniingie mimi mara moja!
 
watawashitaki wachaga,mmewaandama wiki nzima!mbona waha hamuwasemi na wakinga!
 
Back
Top Bottom