Umepatwa vyema, kwa hiyo mwanamke anaumia tu kwa hilo, ila hana mapenzi na jamaa. DahMkuu nijuavyo mimi, dini haitambui mahusiano ya uchumba bali mpaka wawili hawa wangekula kiapo cha uaminifu na utii wa ndoa mbele ya padre/mchungaji ama shekh.
Hapo kilichopo ni jamaa kwenda ku claim mahari yake au apotezee.
Halafu huyo mwanamke ni nyoka hafai tena kuwa nae na kinachomtesa ni grief kuona ya kuwa marafiki zake wametafunwa na jamaa.
Sasa unashauri wamalizie kuachana au warudiane, na je uhusiano wa kifamilia ufe ama lahPole japo kuwa hukutaka kujisema kuwa ni Wewe.
Kipindi cha uchumba ni muda sahihi wa kusomana na kupimana vigezo.
Hapo ndo muda kuyajua mapungufu na mazuri ya mwenza wako mtarajiwa na kuamua kama unaweza kuvumilia hayo.
Ni muda muafaka sana kuachana endapo roho zenu hazikuridhika na mwenzake.
Kuachwa ktk uchumba hakuna lawama na wala dini haihusiki hapo maana hamjapelekana kwenye dini bado hapo.
Nafikiri Dini zinatambua ndoa tu ndio maana hata wakati wa kufungishwa ndoa mtu anaweza kataa na akaendelea na maisha yake kama kawa.Je kidini wafanyeje wakati tayari uchumba unatambulika. Au waachane juu Kwa juu
Dini zinatambua uchumba, je mahusiano ya kifamilia yafe, na kusiwepo na mawasiliano yeyoteNafikiri Dini zinatambua ndoa tu ndio maana hata wakati wa kufungishwa ndoa mtu anaweza kataa na akaendelea na maisha yake kama kawa.
Yameshatokea, je wanaweza kurudiana kwa hali hiiThe best revenge is forgiveness
Ni kwamba jamaa alitoa MAHARI,anapaswa kurudishiwa kwakua hakuna ndoa.Muslim,
Safi, je vipi kuhusu mahusiano ya kifamilia, yasiwepo mawasiliano kabisa ama lahNi kwamba jamaa alitoa MAHARI,anapaswa kurudishiwa kwakua hakuna ndoa.
Lakini pia uchumba hautambuliki KWENYE UISLAM, so hakuna haja ya kusema eti WAVUNJE UCHUMBA.
Hata familia isiporudisha leo au kesho ila inapaswa kuirudisha maana si haki yao,NDOA HAIPO hivyo mahali irudi.
Uislam unasisitiza ndoa sio UCHUMBA
Hilo haliui mahusiano ya kifamilia,isipokuwa ndoa ingekuza mahusiano zaidi,Safi, je vipi kuhusu mahusiano ya kifamilia, yasiwepo mawasiliano kabisa ama lah
Mahusiano ya kifamilia yalisababishwa na uchumba.Uchumba ukiisha kufa na familia zitarudi hali yake ya zamani kabla ya yauchumba(naturally).Mkuu nijuavyo mimi, dini haitambui mahusiano ya uchumba bali mpaka wawili hawa wangekula kiapo cha uaminifu na utii wa ndoa mbele ya padre/mchungaji ama shekh.
Hapo kilichopo ni jamaa kwenda ku claim mahari yake au apotezee.
Halafu huyo mwanamke ni nyoka hafai tena kuwa nae na kinachomtesa ni grief kuona ya kuwa marafiki zake wametafunwa na jamaa.
Umetumia fasihii ipi mkuu!!?Uwe unaelewa, jirani ni neno Tu. Ni ndugu yangu
Uchumba sio ndoa bhana na demu kazingua mapema tena wakati wa matatizo,hapana ndoa hapo
Safi sana.Ushauri mzuriHilo haliui mahusiano ya kifamilia,isipokuwa ndoa ingekuza mahusiano zaidi,
Kwa sababu ndoa haipo uhusiano wa kifamilia upo,
Allah amezuia mifarakano
duhjamaa bonge la mjanja....safi kabisa yeye atembeze dudu tuu achana nae huyo mwanamke .