Na siyo Mashs tu, kwani jana Rich-Mond alitia timu pale Arusha Municipal Council Hq offices ili kujaribu kununua jimbo la Arusha Mjini. Inasemekana alifika dau la 900Million Tshs ampe Mpambanaji Lema ili amwachie jimbo Batilda. Lema akawaita Ndes-pesa na Mbowe nao wakaja dili likawa siyo deal tean. Isitoshe Lema akamwambia huyu fisadi kama unataka toka hapo nje na uwape hao jamaa hizo pesa na wakikubali poa zama ndani nikuachie hili jimbo. Hawa jamaa wanatumia sana Pesa zao kutaka kununua watu.
Mungu atuepushie mbali, tusije kuwa kama Yuda Iskariote