NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,311
Kuna kisa nitakiweka hapa siku zijazo cha mwanaume mmoja aliitelekeza familia yake ikiwa ni miaka mitatu tu tangu afunge ndoa kwa sababu ya hawara, tena na mateso juu mpaka mkewe akajinyonga kutokana na sononi......... hiyo ni obssesion tu
Hii obssesion naona inaweka ubinafsi mbele zaidi.
Binadamu ni wa binafsi sana. Tazama huyu alivyokuwa anajirusha na akaamua kuua bila hata kujali maisha ya kale katoto kao.
Na nadhani ni yeye alimshawishi mkewe akate bima kama si kumkatia.
Muache aozee jera na gonjwa la obssesion cjui atatibiwa nanani huko maana yule kahaba sidhani hata kama atapoteza muda kwenda mchungulia.