MTU mkubwa/Mti mkubwa au MTO mkubwa?zaire ilitokana na neno la kireno zah- eer na wakongo hulitamka kama nzere au nzadi maana yake ni mtu mkubwa unaopokea maji kutoka mito yote , hivo mwanamajumui aliyesema ni shetani kakosea sana. akasome vizuri
Waganga njaa tu, walishindwa ku detect prostate cancerVery possible .Mobutu Alikuwa na waganga kutoka kila pembe ya dunia
MTO MKUBWA ni kosa la kiuandishi mkuu.MTU mkubwa/Mti mkubwa au MTO mkubwa?
Sifahamu mkuu, japo kuna mzee mmoja aliniambia kua ilipandikizwa kwenye toilet paper kupitia mmoja wa walinzi wake wa karibuUnajua chanzo cha prostate cancer ya Mobutu?
Zaire - Wikipedia, kamusi elezo huruMTU mkubwa/Mti mkubwa au MTO mkubwa?
Alikuwa infected na mmama wa kizungu ..She was revenging for the death of her husband who was murdered by Mobutu's son.Sifahamu mkuu, japo kuna mzee mmoja aliniambia kua ilipandikizwa kwenye toilet paper kupitia mmoja wa walinzi wake wa karibu
Huyu faza ni mkenya kama sijakoseaCongo hiii mtu anamili suti zaid ya 200View attachment 836091View attachment 836092
Mkongo ila makaz yake yapo NAIROBI kama alivyo ndugu yake DEFAOHuyu faza ni mkenya kama sijakosea