Kisa cha Benson Mramba kufukuzwa CHADEMA nakukimbilia CCM ni wizi aliyofanya CHADEMA

Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Mwanahabari Huru
JF imekuwa polisi au mahakama?

Wakati anatenda hayo kulikwina?
 
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Mwanahabari Huru
Nimekushusha hadhi zote.
Unalindana na wahalifu.
Mnabebana na kufichiana siri.
By the way, ulichofanya ni kosa la jinai linaitwa Blackmail.
Ukivutwa kisutu usiseme ni kesi ya kisiasa.
 
Kilicho wazi ni kuwa chadema ni chaka la mafisadi na majizi turudishie yale majina ya mwembe yanga ili tuzikubali hizi tuhuma zako!
Pesa za Escrow, kiwanda hewa lindi, EPA, kivuko feki, mabehewa chakavu, 10% ujenzi wa chato Airport, 10% ununuzi wa ndege kwa cash, zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa zote wameiba Chadema? hata ile trilion 1.5 ya juzi juzi imeliwa na chadema?
 
Hiyo haipingiki walahi
Umeshiba trilion 1.5 , 10% vibali vya sukari, 10% pesa za kuikomboa ndege canada, 10% ujenzi wa Reli, 10% ujenzi wa bomba la mafuta toka Uganda mpaka Tanga, 10% ujenzi wa daraja toka masaki Oyestabay mpaka mitaa ya ikulu, tenda sub contracter kwenye ujenzi wa Dsm Nyerere Airport na chato Airport, mgao wa Escrow na madili mengineyo kibao lakini utajitoa fahamu na kuandika hicho ulichoandika
 
Hahahaha
Hahahaha
Hahahaha
Cheka na zile Blackmail za Bashite kumteka MO kisha wakawabambikia wahindi kibao kesi wakawachukulia pesa kibao, ujue mkicheka muwe mnachekea gizani lakini kwenye mwanga kweupe acheni kucheka maana dhambi zenu zinajulikana sana.
 
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Mwanahabari Huru

Ndugu,

Kwanza nakushauri usiweke ushahidi NA wala usiendeleze , kwani inaonyesha kuwa ndani ya uongozi wa Chadema ufujaji wa Mali za chama umeshamiri sana.

Inakuwaje mtumishi wa Chama anafanya jarima NA ufujaji wa mali za umma anaona NA mnamkamata NA hamkumfungulia mashtaka, hizo pesa ni kodi za watanzania NA michango yao.

Jee mlishindwa kumshataki kwa sababu alikuwa NA siri za ufujaji wa mali za chama, mkaogopa.

JEE ulikuwa mshiriki wake, au alishirikiana NA kiongozi mkubwa zaidi nawe ukazuiwa kumpeleka polisi.

Ndugu humdhalilishi Ndugu Benson, bali unafukua siri za chama chako
 
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Mwanahabari Huru
Kumbe na wewe ni boss wa mtu hata kuandika hujui!!! CHADEMA unaandika "chadem"
 
Dullah One najitolea kuwa hakimu wa vichaa hapa.
Naanza kwa kupokea ushahidi wa tuhuma.
Sasa nauliza nani aanze ? Mramba Urambani au Tumaini Makene?
Karibuni!
 
Kumbe na ninyi ni majizi.
Wachaga ni wezi kila mahali.
Hapana wao wasafi, hawaibi! Hata wakiuza chama hakuna wa kuzungumza, hata wakijimilikisha mali za chama hutakiwi kuhoji, wale "cream de la cream" wakichota hela bila maswali hutakiwi kuhoji, ukiwauliza kwanini jengo la chama liko kama nyumba ya jongo watakwambia ili wazidi kuletewa hela na wafadhili..Ni shida..
 
Pesa za Escrow, kiwanda hewa lindi, EPA, kivuko feki, mabehewa chakavu, 10% ujenzi wa chato Airport, 10% ununuzi wa ndege kwa cash, zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa zote wameiba Chadema? hata ile trilion 1.5 ya juzi juzi imeliwa na chadema?
Msalimie Lowassa,Sumaiye na Nyalandu!
 
Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi
Wacha character assassination we kanjanja
Wewe huibi pesa za mabango?
Kila mwisho wa mwezi unachota milioni nne za kueneza chama cha unakieneza kutoka kiunoni mpaka magotini na risiti hurudishi
Mbowe alikiuzia chama fuso mbili chakavu kwa milioni 400
Wote mlioko kwenye genge la Mbowe wezi watupu,ndio mana mtu yoyote anaetaka kuingilia ugali wenu anajuta kuzaliwa
 
Hata kama ni siasa ila punguza uongo. Fuso mbili million 400???
 
Back
Top Bottom