Kisa cha Benson Mramba kufukuzwa CHADEMA nakukimbilia CCM ni wizi aliyofanya CHADEMA

Hata kama ni siasa ila punguza uongo. Fuso mbili million 400???
Jina lako tu halihitaji kutumia nguvu kujua utakua unatetea upande gani
Mabilioni ya sabodo aliotoa kwa chadema ili wachimbe visima nchi nzima yameenda wapi?
Nioneshe hata dimbwil tu waliochimba chadema,Mbowe mpigaji
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kumbe na ninyi ni majizi.
Wachaga ni wezi kila mahali.

Achana na ukabila, utakufa kwa preshia!! Siyo kila anaitwa Mramba ni Mchagga, Mpare au Mkikuyu na wezi wengi waliopo magerezani na rumande siyo Wachagga, ni Wa Tanzania, wale wa Tegeta Escow iliyofanya mpaka Mhe David Kafulila ukitwa Tumbili, ni wanani? waliopitisha mikataba mibovu ya madini na gesi ni kina nani? Waliouza mashirika ya umma na viwanda alivyotuachia Baba wa Taifa ni nani? jitahidi ujikomboe na fikra za umasikini, soma kwa bidii, pata PhD na kamwe hutaweza kuwa na wakati wa kucheza karata na ngonjera kwenye vijiwe vya kahawa na juice! Usisahau kina Balali, wazee wa vijisenti, Simba Trust ya Australia, na kadhalika!
 
Habari wana jamvi? Kwa miezi kadha naona kada wa Ccm aliyekuaga mwanachama wa Chadem Benson Mramba akinukuu na kuandika mambo ya ajabu ajabu sana sasa leo nimeona niwape nini kilichofanya kufukuzwa chadema.

Bwana Benson mimi nikiwa kama Boss wako wa Zamani unakumbuka ulivyo foji cheki nakwenda kuchukua hela ya Chadema Bank? Bwana Benson unakumbuka ulivyouza gari ya chadema kinyemela? Hayo nimachade je unakumbuka ulivyowachangisha wanachama wa Chadema takriban Tanzania nzima kwa kigezo unaeneza chama na ukaenda kuzilia pesa hizo Zanzibar? Jibu nitoe ushaidi

Mwanahabari Huru
konk konk konk masters
 
Benson Mramba duh 🙄
 
Back
Top Bottom